* Kwa marafiki wangu wa Tanzaniana
* Kwa wenzangu wa Tanzania
* Kwa wanafunzi wangu wa NCT 2012-2014
Habari za siku nyingi?
Nashukuru mungu Nimepata nafasi ya kutemberea Tanzania kwa kusalimiwa wapendwa.
Nani wapo Dar kutoka terehe 12 hadi tehre17 mwezi hii?
Nani wapo ZNZ tarehe13 na 14 mwezi hii?
Mwkiwa na muda, natakakuwasalimia. Tu pige story pampja!
Nitafurahi kuwaona na kusikia habari yenu!
Asante.
(I' sorry if my Swahili above is not correct. I have forgotten Swahili in day by day...)
Maiko