Kila kukicha afathali yajana unacho kitaman ukikipata ci zan kama ndo mwisho wa matamanio ukitaman nyumba nzur leo kesho ukiipata je!! ndo mwisho Wamatamanio? ila ukumbuke nyumba nayo bila pesa bila gar nzur bila mke umpendae kwadhat au mume nalo nitatizo juu ya tatzo. Kua napesa nyingi nako bila mwenza ndo shida kabisaaaaaaa. nini kifanyike? maana najua mungu hawez kukupa vyote au kukunyima vyote lazima kutakua na upungufu. tu, kwamimi mwenyewe sina jibu kamili naomben msaada wamajibu juu yahil wenu mtoto mpendwa wa ECG Church