shekhe hakika yale ulio kusudia kwetu yametimia ijapokua badhi yetu tumekua dunaipenda dini kama vile timu za mpira lkn in-shalahh yale ulio sema kwng mie imekua muongozo mwema hakika natamani kila mala nikuone machoni mwngu nyuso yako ijawa nuru naupendo ww pekee ulisimama ktk kuipigania haki licha ya utajili ambao alahh alikujalia lkn uliishi milimani ktk kuikomboa dini ya alahh haki nimejifunza mengi kuto kwako moyo wng unaniuma sana natamani hata nipate kusikia sauti yako ama hata unishike mkono /mapenzi nilionayo ktk imani dhidi yawatu baina yako nimakubwa kama yale alio tuu sia mtume s.a.w alahh akujaze kheri na akujanhalie pepo ya darja la juu jannat fridous