maonesho kilimo ki-kanda
hati ya ushindi
katika mashindano ya maonesho ya kilimo 2015 kamati tendaji taso
kanda imethibitisha kuwa
kuni bora
ndiye mshindi wa kwanza
kundi la kampuni zinazosaidia hifadhi ya mazingira
wakati wa maonesho ya kumi na moja ya kilimo ki-kanda yaliyofanyka katika
uwnja wa maonesho ya kilimo na mifugo wa john mwakangale
kamati ya taso kanda ina heshima kutoa hati hii kwako
leo tarehe 8 mwezi agosti 2015
mwenyekiti wa tso
kanda ya nyanda za juu kusini