jambo lolote litakolo fanywa na muislam ktk kuitetea dini yake basi yupo sahihi so kile walichokifanya uamsho wako sahihi tena nawaombea dua wafanye mengine makubwa zaidi yahayo alahh awezeshe ktk hayo na mengine kwani kwa kufanya hayo wanajiandaria janna pia wanapata swawabu