maraika upande wakulia atakua nakitabu akikuonesha mema ulio yafanya ukiwa duniani nayule waupande wakushoto atkua akikuonyesaha mabaya uliokua ukiyafana so wakati ule utakua ukigeuza shingo kulia na kushoto naye maraika mtoa roho atanza kuitoa roho taratibu hadi kwenye magoti hapo ataacha kwa mda mwanadam atakua ktk haliya sakaratulmaut atakua akisema allah naomba uniachie roho yng mm nitakupa nyumba yng yathamani pamojana pesa zng ama mashamba yng yote ama ichukue roho ya mng kipenzi nami uniache ama ichuku roho ya mkewangu nauniache niwe hai iliiniweze kutubu madhambi yng/seehem 3