INAWEZEKANAJE MTU AMEOKOKA HALAFU AKAOTA NDOTO ZA MAPENZI? JE? NI KWELI ROHO MTAKATIFU HAJUI WAJIBU WAKE WA KUONDOA MAWAZO MACHAFU NDANI YA WANA WA MUNGU? AU MHUSIKA MATENDO YAKE NDO MACHAFU HAYAENDANI NA WATAKATIFU WA MUNGU? HAKIKA YATUPASA KUWA WATAKATIFU MBELE ZA BWANA KWA KULITUNZA NENO LA BWANA VYA KUTOSHA NDANI YA MIOYO YETU. BARIKIWA.