hiyo ni kwa niabaa ya marafiki zng huko tz pande na manzese midizi acha twnde camp mie maoni yng kwenu vijana wenzangu kwamba sie ngumi ni asiri yetu na ndio kipaji chetu so kikubwa tupigane ngumi kwa maslahi ya maisha yetu nasio kwa ajiliya kukabia watu pia tufanye juhudi katika kujikwamu maishani na hii hali ngum ya maisha inayo tukabili ss vijana wa leo pia kama tukitaka kuboresha vipaji vyetu basi tunapaswa kufata hekma na talatibu walizo piatia mabondia wakubwa duniani tuucha ujinga wa kujifunza ngumi ili uonekane mbabe mtaani ngumi ni maisha ambayo ss twaweza kujikwamua na halingumu inayo tukabili tuache usela tufanye maisha ya kweli nasio kujiona watoto kila siku