Mkuu,
Nilishakutana na Mr. Shota
Nimeongea nae utaratibu. Aidha idea yake ni kuwa na kits za essential medicines ambazo zitapelewa kwenye nyumba mbalimbali kwa ajili ya matumizi na watakuwa wanazisimamia.
Utaratibu huo kwa taznzinia naona utakuwa mgumu ila nimemweleza aandike tutamjibu kwa barua. Procedure nyingine za usajili wa dawa na ufanyaji wa majaribio ya dawa ameelekezwa
Kwenye email ya kwanza nilikuandikia email kuhusu status ya SADC Joint inspection ambayo Proches aliteuliwa.