hahah hapa hakuna kuwa kwepa kwani wao wenyewe wana uliziwa hati ya ya kuishi hapa mjini kama ss kumbe wao sio raia wa hapa ispoku wazungu ndio wenye mji wao wao ni wageni kama sie kwani walikua hawezi kuja jorbg bila aid kwahiyo hawana jukum la kutuondoa hapa na wala hawato subutu kuleta baraa hapo joz