INNALILAH WAINNA ILAIH RAJIUN TAARIFA YA MSIBA MUHADHIRI MWEZETU WA MAFIA USTADHI KASIM MAARUFU KAMA KIPOZEO AMEFARIKI DUNIA LEO USIKU KUZIKA NI LEO MBEZI MWISHO .MAREHEMU NDIYE ALIYEKUWA ANAANDAA MIHADHARA YOOTE YA MAFIA .MPE TAARIFA NA MUHADHIRI MWINGINE NA TUNATAKIWA KUJITOKEZA KWA WINGI LEO KTK KUZIKA ILI KUITIA NGUVU FAMILIA YAKE NA KAZI YA DAWA .KWA KAELEZO ZAIDI ANAWEZA AKAPIGIWA MKE WA MAREHEMU KWA SIMU NAMBA 0786346477 HII NI SIMU YA NAREHEMU KWA SASA ANAYO MKEW