salaam layqum ndugu zng ktk imani nawaomba radhi kwakua sitokua hewani kwa mdawa siku 3ama4 kutokana nimetemberewa na ugeni mkubwa kutoka austaria shekhe kharid yaasin amenitemberea so sitokua na mda wakuzungumza nanyi kwasasa mpaka pare nitakapo mariza udhurru na wageni wangu asalaam alaqum