Niaje watu......
Nachukua fursa hii kuwatakieni sherehe safi zilizonoga na zisizolinganishwa na chochote tena, ametujalieni Maulana kushirikiana kikazi kimawazo na kwa kila hali na mali,tumuombeni atunehemesheni tupate kukutanika tena mwaka kesho tupate kujumuika pamoja tena kama kawaida.Siku kuu njema kwenu na familia zenu basi mkale mkashibe mfurahie kuzaliwa kwa Issah mwana wa Mungu.Asanteni.Inshallah....