mimi naitwe edwin nimezaliwa kijiji kimoja kinaitwa kanyigo ni mtoto wa sita kuzaliwa ila mpaka now niyatima sina mama wala baba natamani wazazi wangu wangekuwepo dunian nisngekuwa naangika sikubatika kusoma elimu yangi ni lasaba ila nimejifunza udereva napenda sana kuendesha gari nina mke na watoto watatu wawili ni wasichana mmoja wa kiume