najua serekali ya tz imeshindwa katik kila sekta juu ya jukum la kuitngaza inchi yake katika mambo mbalimbali pia tukaambiwa kwamba kuna sekta binafsi ambazo zina weza kutangaza inchi katika fursa mbali mbali zikiwemo utarii na madini kilimo na mambo mbalimbali lkn kutoka na udhaifu wa serikali na sekta husika kupata fursa iliyo sahihi kuto seriklini leo hii inchi yetu ina shindwa kujulikana kimatifa kulingana na vivutioa vyake na tume wapa majirani nasafi y kupiga mpunga na tasi kupitia kujitangaza fursa mablimbli zilizoko na kusema zina patikan kwako,naanza na wahindi hawa sisi tunawajua kitambo kule kusini mwa tanzania kwa kunua korosho na ufuta kwa miaka mingi hawa ndio wanunuzi wa korosho na ufuta kuto kusini mwa tanzania ,kulingan na serikli ya tz kuto jua jukum lao leo hii duniani wanajua zao la korosho lina patika india , kwani india ndio wauzaji wakubwa wa korosh na ufuta ,je swali la kujiuliza india kweli wna zalisha ufuta na korosho,je inakuaje leo india injitangaza kwamba wao ni wakulima na wazalishaji wa korosho
ina maan hicho kibari cha kujitangza hivyo wamepewa na serikli ya tz au nani kawapa fursa hii nkama hawan fursa hiyo je serikali ya tz haijui yanyo enderea duniai dhidi ya mambo mengi yanayo husu tanzania watu wanapiga pesa kutangaza fursa za tanzania kwmba zina patikana kwao