salaam ndg zangu ktk imann tunaenderea naso letu/basi pale ndugu najamaa watoto paomoja na mama yao watakapo ondorewa chumbani kwa mgonjwa pare malaika mtoa roho ataivuta roho kuanzia kifuani mpaka utosini kishha ataondokanayo hapo wale wazee wabusara wataita mjomba amashangazi wa maruhum ama baba babu na
kuwatarifu watangazie ndugu na majirani kwamba mgonjwa wetu amesha tutoka/