Ayee rhumba imetamba Sauti Sol in a di area kumechachaKaribuni kwenye ExtravaganzaBensoul alipofika alifunika eeehWakaja na madrama, cinema zetu ni telenovelaWakasunda mizinga, hawakujua si tuko mavelaWakaita polisi, kumbe polisi pia ni shabikiWaficha msosi, wakatupata na dishi mezaNa Nviiri alipofika alifunika eeehWalifunga milango, wakatupata tuko ndani naoWakaita makanjo, kumbe ni sisi huwalipa salo (wowowo)Wakazima mitambo, shabika wakabaki kwenye dance floorNa iwe funzo kwao, tunaongoza wanafuata nyayo