Usikose ibada kesho siku ya Bwana. Karibu tumwabudu Mungu pamoja. Kanisa la Ufufuo na Uzima lipo Mara tu baada ya mitambo ya Tanesco, Ubungo. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi 0714729805, 0717727206 au 0654295530. Share Video hii kwa wengine pia. Mungu akubariki.