HATA SHETANI HUJIHUDHURISHA MAHALI AMBAPO WATAKATIFU HUKUSANYIKA.NDIO MAANA MAKANI MAPEPO HUWA HAYAKOSI WAKATI WA MAOMBI. HIVYO BASI YATUPASA KUWA NA HOFU YA MUNGU KATIKA MATENDO YETU NA TUOMBE PASIPO KUKOMA,KWA MAANA MUNGU WETU NI MUNGU AONAE HATA SIRINI. PIA KUMBUKA TUNAE MSHITAKI WETU AMBAE NI SHETANI. UTAJITAHID KUFICHA LAKIN YEYE ANAONA NA ATAKUSHITAKI MBELE ZA MUNGU. YUDA 2:9 SHETAN ALIMLALAMIKIA MUNGU JUU YA UHALALI WA MWIL WA MUSA KUCHUKULIWA NA MALAIKA WAKAT MUSA ALITENDA DHAMBI. DUMU KTK MAOMBI.