KWANINI UNAOTA UKIWA DARASANI AU UNAOTA UNAFANYA MTIHANI
Kuna watu wengi wamekuwa wakiota wanasoma au wapo darasani, na wengi wao huota madarasa ambayo wameshayasoma miaka mingi iliyopita. Wengine huota wanafanya mitihani Je, wewe ni mmoja wapo? na unajua Mungu anataka kukwambia nini kupitia ndoto hizo? Na uombaje ikitokea umeota hivyo?
Mwisho wa wiki hii, nitaweka somo nililofundisha kuhusu Kuota upo darasani au unafanya mtihani, ili kulipata Bonyeza link ya youtube hapa chini, kisha ikifunguka Youtube bonyeza subscribe kama ulikuwa hujasubscribe, kuanzia hapo utapokea ujembe kwa email yako mara tu nitakapoweka video katika youtube Channel yangu. Mungu akubariki.
https://www.youtube.com/user/UFUFUONAUZIMA