ni kweli dunia imejaa ukatili watu hatuna imani binaadam tunatengeneza silaha nzito nzito si kuua tembo wala makundi ya nyati bali ni zakuangamizana sisi kwa sisi ni bora ee...m/mungu leo mazayuni wanawaangamiza waislamu wasio na hatia makundi kwa makundi mithili ya ndege waharibifu ewe allah waangamize mazayuni hawa na kama haitoshi basi tuangamize sote upate kutuhukumu amin.