usariti wa dora ya saudi arabia zidi ya waislam unazidi kudhirika ktk ijuma ya leo ktk hutuba ya mskiti wa makha hakuja zungumziwa suala lolote dhidi ya ndugu zetu wa ukanda wa gaza hakika mfalume wa saudia amedhilisha kwamba yy ni khafiri kwanza amesha kufuru apo awali imetoka amri kutoka kwa allahh tuende kuhiji makha kwa mtu mwenyepesa kwahiyo makha ni mji wawaislam sasa yeye kwanza kaweka viza kwa mtu yeyote anae hitaji kwenda makha lazima aombe viza hadi hapo amesha kufuru kwani siye waislam tulitakiwa twende makha kwa ticket zetu tu za ndege nasio mpaka tuombe viza so mpaka hapo amesha tusaliti waislam pia amesha fumbuia macho migogoro mingi ya waislam