Mimi sijambo na family yangu pia,naendelea na kazi
sasa muda mwingi naendelea na kazi ya kupanga
vipindi vya TV because Ahmed Talib Programme
Manager hajisikii vizuri anaumwa na diabetes but
anaendelea vizuri.
Vipi KBC na KBC minna sama wanaendeleaje?
Mimi bado nawkumbuka pia na Viongozi wa KBC
walikuwa ni wat wazuri sana naomba wape salam
zangu nyingi sana.