kuku alipomwona Buibui akawaita watoto wake,'kooo koko! kooo koko. Njooni hapa upesi watoto wangu. Kuna chakula kitamu hapa. Buibui ni chakula chetu kitamu sana. Njooni tumle."
kuku akaanza kumdonoa Buibui. Buibui akamwambia,"Eh, bwana, tafadhali usiniue. Mimi ni rafiki wa rafiki yako Mwewe.