tanzania ni ichi inayo patikana east africa ina vingi vivutio na mazingira mazuri ikiwemo pwani na kaskazni mwa tanzania ukiwemo mlima kilimanjaro na mbuga za wanyama serengeti manyara mikumi na kadharika bahari ya hindi miji ya kihistoria ikiwemo kilwa masoko kilwa kisiwani kilwa kivinje na kadhalika pwani bagamoyo na nazibar kuna mambo mengi ya kihstoria ktk inchi ya tz jamani itangazeni inchi yenu katika lugha tofauti kuna watu wana taka kujua yalioko tanzania lkn wana shindwa kulingana na kuto kupata wahusika na kuzungumza nao kwakina