Haya sasa ona 75% ya wabunge bungeni ni wakristo na katika hiyo aslimia, 70% ni wakatoliki na 5% ni mazeebu mengine ya kikristo. Na 25% ni waislam. Hivyo mnadhani waislam mtapewa mahakama ya kadhi kama mnavyo dai au OIC, ikiwa bado kampeni inaendelea kuwaondoa 25% ya wabunge waislam kuwaondoa bungeni