unajua bongo watu hawana kazi ya kufanya hilo ndio tatizo lkn hali nishwari kabisa na hakuna jipya upande wetu sie wa tz kwani kama wa tz wakisema waondoke inchi hii basi hakutobakia wanawake wala watoto kwani wana wake wote washa zalishwa na wa tz huku kwahiyo hawa sie ni wajomba zao